Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea anawatangazia watu wote wenye sifa za kuomba kazi ya nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira.