Imetumwa : January 20th, 2026
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea, Dkt. Shukurani Nsikini, ametambulisha kifaa kipya maalumu kwa ajili ya kukinga majengo ya hospitali dhidi ya athari za radi, hususan ka...
Imetumwa : January 14th, 2026
Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea imefanya maboresho ya vifaa vya kutolea huduma za maabara kwa kununua vifaa vipya kama vile mashine ya kemia yenye thamani ya milioni 40 ambayo inauwezo wa kupima vip...
Imetumwa : January 8th, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo, amewataka madiwani kuwa kichocheo cha maendeleo kwa kushirikiana kwa karibu na wananchi, Pia amesisitiza kuwa wana wajibu wa kuwakimbilia ...