• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Wananchi wa Mitumbati wapongezwa kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari

Imetumwa : January 16th, 2021

Wananchi wa Mitumbati wapongezwa kwa ujenzi wa shule ya Sekondari

Wananchi wa kata ya Mitumbati wamepongezwa kwa kuanza ujenzi wa shule ya sekondari ya  kata  yao na kupunguza adha ya umbali ya watoto waliokuwa wakitembea kutoka Mitumbati kwenda Nangowe ilipo Shule ya Sekondari Kipaumbele

Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa, Hashim Komba aliposhiriki kwenye shughuli za kujitolea ambapo wananchi walishiriki kwa wingi kujitolea.

“Mlipoanza safari hii nilidhani ingeweza kuishia njiani  lakini mmekwenda na kasi ya ajabu, jingo lote hili lote mnaloliona nguvu ya wananchi ni zaidi ya asilimia 75”  Alisema Mheshimiwa Komba.

Aidha, Mheshimiwa Mkuu wa wilaya amekabidhi bati 35 ikiwa ni sehemu ya bati 70 alizoahidi alipotembelea shule hiyo ambapo aliambiwa baada ya halmashauri kusaidia mabati kulikuwa na upungufu wa bati 70.

“Siku moja nilimuona mwanafunzi mmoja tena alikuwa wa kike mvua inanyesha anaendesha baiskeli shati lake lote limejaa matope niliumia sana, siku moja nilifanya ziara hapa nikakutana na watu wachache nikaahidi nitaleta sabini, leo nimeleta bati 35 ijumaa ijayo nitaleta mengine 35 kufikia 70” Aliongeza Mheshimiwa Komba.

Wanafunzi wa kata ya Mitumbati wanasoma shule ya Sekondari Kipaumbele umbali wa zaidi ya kilomita tano kupata elimu ya sekondari.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Baraza January 22, 2021
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili wa mahojiano September 28, 2020
  • Mwongozo wa Uchaguzingazi za vijiji September 06, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Halmashauri yapitisha mpango na bajeti ya shilingi bilioni 32

    February 20, 2021
  • NAIBU WAZIRI OR TAMISEMI AIPONGEZA SERIKALI KWA UJENZI WA MADARASA

    February 18, 2021
  • Wananchi wa Mitumbati wapongezwa kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari

    January 16, 2021
  • Wananchi watakiwa kutumia mnada wa mifugo kujipatia kipato

    April 26, 2020
  • Angalia zote

Video

Maajabu ya kaburi la mbwa
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mpango wa Bajeti
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya mkoa wa Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.