• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Waliohujumu fedha za Kijiji watakiwa kuzirejesha

Imetumwa : November 14th, 2019


Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa Hashim Komba amewataka viongozi waliogawana fedha za Kijiji cha Kiegei A kurejesha fedha hizo mara moja

Mkuu wa Wilaya ameyasema hayo jana kwenye mkutano wa kusikiliza kero uliofanyika katika Kijiji cha Kiegei B katikati janai baada ya kupokea kero ya matumizi mabaya ya fedha za Kijiji kutoka kwa wananchi.

Alimtaka Afisa Tarafa na Afisa Kilimo kusimamia fedha hizo zirejeshwe mpaka kufikia siku ya Ijumaa saa 10:00 Jioni kwa kuwatafuta wajumbe wote wa Serikali waliohusika katika mgao huo wa fedha.

“Haiwezekani choo hakijaisha, wajumbe na Mtendaji wa Kijiji wanagawana fedha za wananchi shilingi laki saba kwa kisingizio eti wajumbe wamemaliza muda wao” Alisema Mheshimiwa Komba

Mkuu wa Wilaya alimuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya kuwakamata watu wote ambao hadi kufikia muda aliouweka watakuwa hawajaresha fedha hizo washikiliwe mpaka pale fedha hizo zitakaporejeshwa.

Pia amewaasa watumishi wa umma kufanya kazi kwa uadilifu na uzalendo mkubwa kwa kufanya matumizi sahihi ya fedha zinazoletwa kukamilisha miradi ya Maendeleo.

Katika mkutano huo wananchi ishirini walijitokeza kueleza kero zao ambazo baadhi yake zilipatiwa majawabu na wataalam walioongozana na Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Baraza January 22, 2021
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili wa mahojiano September 28, 2020
  • Mwongozo wa Uchaguzingazi za vijiji September 06, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Serikali yalegeza masharti ya mikopo asilimia 10

    February 26, 2021
  • Halmashauri yapitisha mpango na bajeti ya shilingi bilioni 32

    February 20, 2021
  • NAIBU WAZIRI OR TAMISEMI AIPONGEZA SERIKALI KWA UJENZI WA MADARASA

    February 18, 2021
  • Wananchi wa Mitumbati wapongezwa kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari

    January 16, 2021
  • Angalia zote

Video

Maajabu ya kaburi la mbwa
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mpango wa Bajeti
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya mkoa wa Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.