• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Mabasi yote kupakia na kushusha abiria Stendi Mpya

Imetumwa : October 25th, 2019

Mabasi yote kupakia na kushusha abiria Stendi Mpya

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa Hashim Komba amewataka wasafirishaji na abiria wote kuanza kutumia stendi mpya kuanzia tarehe 25.10.2019 Asubuhi.

Ametoa agizo hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwanja vya Stendi ya zamani uliokuwa na lengo la kusikiliza kero za wananchi

“Magari yote kuanzia kesho yatapakia na kushusha abiria ndani ya Stendi mpya kuanzia kesho (leo), eneo hili litatumika kuegesha malori tu” Alisema mheshimiwa Komba

Aidha, ameigiza Halmashauri kuwajengea mama ntilie banda moja kubwa ambalo watalitumia katika shughuli zao za kutoa huduma ya chakula tofauti ambapo walitakiwa kujenga wenyewe kwa kupewa kibanda cha mfano.

Katika Mkutano wananchi walipata fursa ya kutoa kero mbalimbali ambapo wakuu wa Idara na vitengo vya Halmashauri walitoa majawabu ya kero hizo.

Pia ameigiza Halmashauri kufungua soko kuu la Nachingwea kufunguliwa tarehe 26.10.2019 na kutaka maandalizi yafanyike ili ifikapo tarehe hiyo wafanyabiashara wanaostahili wawe katika maeneo husika.

Matangazo

  • Tangazo la maelekezo uchaguzi wa viongozi ngazi za vijiji na vitongoji September 23, 2019
  • Tangazo la walioomba kujenga vibanda Standi mpya October 10, 2019
  • Tangazo la walioomba kujenga vibanda Standi mpya October 10, 2019
  • Tangazo la walioomba kujenga vibanda Standi mpya October 09, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Waliohujumu fedha za Kijiji watakiwa kuzirejesha

    November 14, 2019
  • Wananchi watakiwa kutogawanyika kwa sababu za kisiasa

    November 08, 2019
  • Kilogram 438,687 za korosho zauzwa

    November 04, 2019
  • Mabasi yote kupakia na kushusha abiria Stendi Mpya

    October 25, 2019
  • Angalia zote

Video

Maajabu ya kaburi la mbwa
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mpango wa Bajeti
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya mkoa wa Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.