• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Kilogram 438,687 za korosho zauzwa

Imetumwa : November 4th, 2019

Priscus Silayo

Kilogram 438,687 za  Korosho zauzwa

Wakulima wa korosho waliohudhuria kwenye mnada wa zao hilo wameridhia korosho zao  Kilogramu 438, 687 kuuzwa kwa wafanya biashara mbalimbali.

Katika mnada uliofanyika jana katika viwanja vyao ofisi ya RUNALI jana kampuni 15 ziliweka zabuni zao, ambapo maombi 20 ya ununuzi wa korosho yalipokelewa

Baada ya kupitia barua hizo kampuni nne zilipitishwa kununua korosho kulingana na bei zao, bei ya juu ilikuwa Shilingi 2625 na bei ya chini 2567.

Awali akifungua mnada huo mwenyekiti wa RUNALI Ndugu Hassani Mpako aliwataka wakulima kufanya maamuzi ya busara katika kupitia kampuni zilizoonesha nia ya kununua korosho zao.

“Ninyi ndiyo wenye mali, tusikilize kwa makini bei zilizowekwa ili tufanye maamuzi mazuri kwa manufaa ya wakulima wetu” Alisema Mwenyekiti

Aidha, akiongea na wakulima waliohudhuria mnada huo Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Godfrey Zambi amewataka wafanyabiashara walioshinda zabuni ya kununua korosho kulipa fedha mapema, wasipofanya hivyo watanyang’anywa mzigo huo.

“Chama Kikuu cha Ushirika RUNALI baada ya kupokea malipo lipeni fedha moja kwa moja kwa wakulima ili kuondoa malalamiko yanayoweza kujitokeza, makato ya AMCOS mnayafahamu” Aliongeza Mheshimiwa Zambi

Chama Kikuu cha Ushirika RUNALI kinaundwa na AMCOS za wilaya za Nachingwea, Liwale na Ruangwa.

Matangazo

  • Tangazo la maelekezo uchaguzi wa viongozi ngazi za vijiji na vitongoji September 23, 2019
  • Tangazo la walioomba kujenga vibanda Standi mpya October 10, 2019
  • Tangazo la walioomba kujenga vibanda Standi mpya October 10, 2019
  • Tangazo la walioomba kujenga vibanda Standi mpya October 09, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Waliohujumu fedha za Kijiji watakiwa kuzirejesha

    November 14, 2019
  • Wananchi watakiwa kutogawanyika kwa sababu za kisiasa

    November 08, 2019
  • Kilogram 438,687 za korosho zauzwa

    November 04, 2019
  • Mabasi yote kupakia na kushusha abiria Stendi Mpya

    October 25, 2019
  • Angalia zote

Video

Maajabu ya kaburi la mbwa
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mpango wa Bajeti
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya mkoa wa Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.