• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Maji

  • Kupanga, kusanii mradi, kujenga na kusimamia uendeshaji na matengenezo ya miradi ambayo imeshajengwa.
  • Kufanya ukaguzi wa miradi ya maji ambayo imejengwa
  • Kutoa Elimu ya uvunaji wa maji ya mvua
  • Kusimamia mapato na matumizi ya mfuko wa maji
  • Kutoa mafunzo ya mafundi wa vijijini ili wawe na uwezo wa kufanya matengnezo madogo pindi inapobidi.
  • Kutoa elimu pamoja na kusimamia upandaji wa miti rafiki ya maji katika vyanzo vya maji
  • Kuandika mapendekezo (Project proposal) ya miradi ya maji kama uvunaji wa maji ya mvua, ujenzi wa visima virefu, maji ya kutega (gravity scheme) na kukinga maji ya chemichemi (spring protection).
  • Kusimamia uanzishwajni wa jumuiya za watumiaji maji na kufanya maandalizi na maadhimisho ya wiki ya maji
  • Kufanya ukaguzi wa visima virefu na vifupi vijijini kila baada ya miezi mitatu (Quarterly Inspection).
  • Kufanya mikutano ya Hadhara, ili kutoa maelekezo ya sera ya maji juu ya uanzishwaji wa jumuiya za watumiaji maji na michango ya maji yenye tija kwa ajili ya matengenezo ya miraid ya maji.
  • Kusimamia mafunzo ya mafundi wa vijijini (Pump Attendants) ili wawe na uwezo wa kufanya matengenezo madogo pindi yanapotokea.
  • Kusimamia mapato na matumizi ya mfuko wa maji.
  • Kusimamia uendeshaji na matengenezo ya miradi ya maji iliyokwisha jengwa.
  • Kusimamia uendeshaji na matengenezo ya miradi ya maji iliyokwisha jengwa.
  • Kusimamia ufunguaji wa Akaunti za maji Benki
  • Kusimamia miundombinu mipya ya maji-: Matanki ya maji (Water storage tank) Intakes, Vituo vya kuchotea maji (Water points), Matanki ya chini ya kupunguza msukumo wa maji (Break pressure tank) na Utandikaji wa mabomba kutoka kitega maji.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Baraza January 22, 2021
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili wa mahojiano September 28, 2020
  • Mwongozo wa Uchaguzingazi za vijiji September 06, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Serikali yalegeza masharti ya mikopo asilimia 10

    February 26, 2021
  • Halmashauri yapitisha mpango na bajeti ya shilingi bilioni 32

    February 20, 2021
  • NAIBU WAZIRI OR TAMISEMI AIPONGEZA SERIKALI KWA UJENZI WA MADARASA

    February 18, 2021
  • Wananchi wa Mitumbati wapongezwa kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari

    January 16, 2021
  • Angalia zote

Video

Maajabu ya kaburi la mbwa
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mpango wa Bajeti
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya mkoa wa Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.